Taratibu za utunzaji wa mazingira katika uchimbaji mdogo wa madini

dc.date.accessioned2020-04-30T13:06:49Z
dc.date.available2020-04-30T13:06:49Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractMaswala ya usimamizi wa mazingira, afya na usalama katika migodi ni miungoni mwa mambo ambayo yameelezwa kwa kina katika sera ya madini ya mwaka 2009 ambayo imepitishwa na Bunge la Jamumhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2009 Sera ya madini imeainisha kuwa serilali itaendelea kutoa mafunzo na ushauri kwa wachimbaji wadogo katika maswala ya afya na usalama, HIV,AIDS na usimazi wa mazingira. Ili kuhakikisha shughuli za uchimbaji madini unakua endelevu, serikali itahitaji kuchukua hatua ili kupunguza au kutokomeza athari za mazingira kwa kubarasha hali ya afya na usalama na kushughulikia maswala masuala ya kijamii yanayowaathiri wanajamii pia ni muhimu kwa serikari kuchukua hatua za makusudi kuongeza ufahamu na kuhamasisha masuala ya mazingira miongoni mwa wachimaji wadogo Shughuli za wachimbaji madini zisiposimamiwa ipasavyo huweza kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kama vile ukataji wa miti na uchafuzi wa vyanzo vya maji na kusababisha muingiliano wa masuala ya kijamii katika mweneo yanayozunguka mgodi.en_US
dc.identifier.citationWizara ya nishati na madini (2009)Taratibu za utunzaji wa mazingira katika uchimbaji mdogo wa madini, Jamuhuri ya muungano wa Tanzaniaen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/10581
dc.language.isoswen_US
dc.publisherJamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Wizara ya nishati na madinien_US
dc.subjectUtunzaji wa mazingiraen_US
dc.subjectUchimbaji mdogo wa madinien_US
dc.subjectWizara ya nishati na madinien_US
dc.titleTaratibu za utunzaji wa mazingira katika uchimbaji mdogo wa madinien_US
dc.typeOtheren_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Taratibu za Utunzaji wa Mazingira katika Uchimbaji Mdogo wa Madini.pdf
Size:
3.99 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: