Taratibu za utunzaji wa mazingira katika uchimbaji mdogo wa madini

Loading...
Thumbnail Image
Date
2009
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Wizara ya nishati na madini
Abstract
Maswala ya usimamizi wa mazingira, afya na usalama katika migodi ni miungoni mwa mambo ambayo yameelezwa kwa kina katika sera ya madini ya mwaka 2009 ambayo imepitishwa na Bunge la Jamumhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2009 Sera ya madini imeainisha kuwa serilali itaendelea kutoa mafunzo na ushauri kwa wachimbaji wadogo katika maswala ya afya na usalama, HIV,AIDS na usimazi wa mazingira. Ili kuhakikisha shughuli za uchimbaji madini unakua endelevu, serikali itahitaji kuchukua hatua ili kupunguza au kutokomeza athari za mazingira kwa kubarasha hali ya afya na usalama na kushughulikia maswala masuala ya kijamii yanayowaathiri wanajamii pia ni muhimu kwa serikari kuchukua hatua za makusudi kuongeza ufahamu na kuhamasisha masuala ya mazingira miongoni mwa wachimaji wadogo Shughuli za wachimbaji madini zisiposimamiwa ipasavyo huweza kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kama vile ukataji wa miti na uchafuzi wa vyanzo vya maji na kusababisha muingiliano wa masuala ya kijamii katika mweneo yanayozunguka mgodi.
Description
Keywords
Utunzaji wa mazingira, Uchimbaji mdogo wa madini, Wizara ya nishati na madini
Citation
Wizara ya nishati na madini (2009)Taratibu za utunzaji wa mazingira katika uchimbaji mdogo wa madini, Jamuhuri ya muungano wa Tanzania