Sera ya madini

dc.date.accessioned2020-04-30T13:55:31Z
dc.date.available2020-04-30T13:55:31Z
dc.date.issued1997-10
dc.description.abstractSerikali ya Tanzania inatambua umuhimu wa kuandaa mazing ira ya uwekezaji yenye ushindani kimataifa kwaajili ya sekta ya madini. Mwelekeo na malengo ya Serikali ni kuwa na sekta ya madini yenye nguvu, tija na ufaniisi kwa manufaa ya Watanzan.ia. Inatarajiwa kwamba sekta ya madini itachang.ia ipasavyo katika maendeleo ya viwanda, utoaji wa ajira,maendeleo ya mitmdombinu ya kijamii na kiuchumi (hususan katika maeneoya vijijini), kuzalisha mali, ku.ingiza fedha za k.igeni na mapato kwa Serikali. Shughuli zote za sekta ya madini zitafanyika kwa kuzingatia usalama na uhifadhi wa mazingira (kwa ajili ya uendelevu). Utafiti wak.ijiolojia uliofanyikakwazaidi yam.iaka sitini, pamojana taarifa na takwimu za madini zilizopo, tmaonyesha kwamba Tanzania inahazina kubwa yaaina nyingi za madini yenye thamani kubwa kiuchumi. Hata hivyo, nchi bado haijafaidika ipasavyo kutokana na mchango wa hazina lui kubwa ya madini.en_US
dc.identifier.citationWizara ya nishati na madini(1997)Sera ya madini, Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/10586
dc.language.isoswen_US
dc.publisherJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wizara ya nishati na madinien_US
dc.subjectSera ya madinien_US
dc.subjectWizara ya nishati na madinien_US
dc.subjectJamhuri ya Muungano wa Tanzaniaen_US
dc.titleSera ya madinien_US
dc.typeOtheren_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Sera ya Madini Tanzania 1997.pdf
Size:
22.15 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: