Sera ya madini

Loading...
Thumbnail Image
Date
1997-10
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wizara ya nishati na madini
Abstract
Serikali ya Tanzania inatambua umuhimu wa kuandaa mazing ira ya uwekezaji yenye ushindani kimataifa kwaajili ya sekta ya madini. Mwelekeo na malengo ya Serikali ni kuwa na sekta ya madini yenye nguvu, tija na ufaniisi kwa manufaa ya Watanzan.ia. Inatarajiwa kwamba sekta ya madini itachang.ia ipasavyo katika maendeleo ya viwanda, utoaji wa ajira,maendeleo ya mitmdombinu ya kijamii na kiuchumi (hususan katika maeneoya vijijini), kuzalisha mali, ku.ingiza fedha za k.igeni na mapato kwa Serikali. Shughuli zote za sekta ya madini zitafanyika kwa kuzingatia usalama na uhifadhi wa mazingira (kwa ajili ya uendelevu). Utafiti wak.ijiolojia uliofanyikakwazaidi yam.iaka sitini, pamojana taarifa na takwimu za madini zilizopo, tmaonyesha kwamba Tanzania inahazina kubwa yaaina nyingi za madini yenye thamani kubwa kiuchumi. Hata hivyo, nchi bado haijafaidika ipasavyo kutokana na mchango wa hazina lui kubwa ya madini.
Description
Keywords
Sera ya madini, Wizara ya nishati na madini, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Citation
Wizara ya nishati na madini(1997)Sera ya madini, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania