Sivyo ilivyo

dc.contributor.authorMakungu, Hamidi Vuai
dc.date.accessioned2022-06-21T12:50:11Z
dc.date.available2022-06-21T12:50:11Z
dc.date.issued1970
dc.descriptionKinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.6.M34)en_US
dc.description.abstractSiku moja katika siku saba zinazojirudia zizo kwa zizo katika maisha yetu,Shungi baada ya kufikiri hali ya udhaifu wa maisha yake hasa kwa vile hakusoma na bahati yake ya kukosa kazi, kila alikotoka maofisini,viwandani hata kwa matajiri,aliamua kwenda kuangalia hali yake kwa mganga ili afanyiwe maarifa ya kazi.Shungi kadharauliwa na kila mtu pengine hata na Bi Nali mke wa rafiki yake,yawezekana hata na mzee Finya anamdharau shungi, Dharau ni nini? Kule kumuonea huruma mtu nayo ni dharau, unamdharau kwasababu kwasababu hawezi kujimudu.en_US
dc.identifier.citationMakungu, Hamidi Vuai (1970) Sivyo ilivyo,Zanzibar:Zanzibar publishersen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.172.12:8090/xmlui/handle/123456789/16647
dc.language.isoswen_US
dc.publisherZanzibar publishersen_US
dc.subjectSwahili fictionen_US
dc.subjectSivyo ilivyoen_US
dc.titleSivyo ilivyoen_US
dc.typeBook chapteren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
sivyo ilivyo.pdf
Size:
22.65 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: