Sivyo ilivyo

Date

1970

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Zanzibar publishers

Abstract

Siku moja katika siku saba zinazojirudia zizo kwa zizo katika maisha yetu,Shungi baada ya kufikiri hali ya udhaifu wa maisha yake hasa kwa vile hakusoma na bahati yake ya kukosa kazi, kila alikotoka maofisini,viwandani hata kwa matajiri,aliamua kwenda kuangalia hali yake kwa mganga ili afanyiwe maarifa ya kazi.Shungi kadharauliwa na kila mtu pengine hata na Bi Nali mke wa rafiki yake,yawezekana hata na mzee Finya anamdharau shungi, Dharau ni nini? Kule kumuonea huruma mtu nayo ni dharau, unamdharau kwasababu kwasababu hawezi kujimudu.

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.6.M34)

Keywords

Swahili fiction, Sivyo ilivyo

Citation

Makungu, Hamidi Vuai (1970) Sivyo ilivyo,Zanzibar:Zanzibar publishers