Toni Katika Vitenzi Vya Lugha

dc.contributor.authorBichwa, Sail Simon
dc.date.accessioned2021-04-21T12:42:39Z
dc.date.available2021-04-21T12:42:39Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library, class mark (THS EAF PL8228.6.B52)en_US
dc.description.abstractTasnifu hii ni zao la utafiti uliochunguza utokeaji wa ‘’Toni katika vitenzi vya lugha ya Giha’’. Tafiti zilizokwisha kufanyika katika lugha ya Giha zinabainisha kuwa lugha hii ina toni. Pamoja na kubainisha hivyo, tafiti hizo hazikubainisha kiimbotoni msingi cha lugha hii wala kufafanua silabi inayohusishwa na kiinitoni. Aidha tafiti hizo hazikueleza kanuni mbalimbali za kitoni ambazo zinazojitokeza katika luwaza ya Toni. Utafiti huuu umejikita katika kuziba pengo Hilo. Katika kuziba pengo hili, tunajenga hoja kwamba ruwaza ya Toni katika vitenzi vya lugha ya Giha huanza na tonichini, kisha tonijuu na kuishia na tonichini tena. Kwa maana hyo, Kiimbotoni Msingi cha lugha ya Giha ni Chini Juu Chini (CJC). Aidha Katya lugha hii kiinitoni kinahusishwa na tonichini ya upande wa kushoto katika kiimbotoni msingi.en_US
dc.identifier.citationBichwa, Sail Simon (2016) Toni Katika Vitenzi Vya Lugha, Masters dissertation, University of Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15144
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectHa languageen_US
dc.subjectKigomaen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleToni Katika Vitenzi Vya Lughaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
SAUL SIMON BICHWA.pdf
Size:
98.29 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: