Usimulizi katika riwaya ya dunia uwanja wa fujo

dc.contributor.authorFlavian, Leonard
dc.date.accessioned2020-03-26T12:17:00Z
dc.date.available2020-03-26T12:17:00Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8704.F552)en_US
dc.description.abstractRiwaya za Euphrase Kezilahabai , Rosa Mistika (1971), Kichwa Maji (1974), Dunia Ilwanja wa Pio (1975), Gainful kl Nyoka (1979), Nagona (1990) na Mzingile (1991), zimewavutia wataalamu wengi kuzifanyia uchambuzi na utafiti. Miongoni mwa wataalamu hao ni Senkoro (1982, 2011), Mulokozi (1983), Wamitila (1997), na Sakkos (2008). Katika uchambuzi wao, wataalamu hao wamejikita zaidi katika kuchunguza dhamira, falsafa, motifu na kadhalika. Pamoja na kuzua mijadala kutokana na uchambuzi, riwaya hizo hazijafanyiwa uchambuzi wa kutosha kwa kuzingatia sifa zake za kiusimulizi. Hivyo, kwa kutumia nadharia ya usimulizi, tasinifu hii inachunguza suala la usimulizi kwa kuzingatia mbinu zake za usimulizi: wahusika na msimulizi. Hoja ya msingi ya tasinifu hii ni kuwa mbinu za usawiri wa wahusika na dhima ya msimulizi ni vipengele vinavyosaidia kubaini maudhui na malengo ya kazi inayohusika. Katika kuchunguza vipengele hivyo, tumejiuliza: Mbinu zipi zimetumika kuwajenga wahusika katika riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo? Zaidi ya kusimulia, msimulizi ana dhima nyingine? Kama ipo ni ipi? Kwa jumla, katika tasinifu hii mbinu mbalimbali za usawiri wa wahusika pamoja na dhima za msimulizi zimebainishwa na kufafanuliwa. Zaidi ya kubainishwa kwa mambo kayo, pia kumetolewa hitimisho la tasinifu na mapendekezo ya maeneo yanayohitaji kutafitiwa zaidi.en_US
dc.identifier.citationFlavian, L. (2012) Usimulizi katika riwaya ya dunia uwanja wa fujo, Master dissertation, University of Dar es Salaam. Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8272
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaam,en_US
dc.subjectSwahili literatureen_US
dc.subjectSwahili languageen_US
dc.titleUsimulizi katika riwaya ya dunia uwanja wa fujoen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Leonard Flavian.pdf
Size:
5.8 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: