Athari za maendeleo ya Sayansi na teknolojia katika nyimbo za michezo ya watoto: mifano kutoka katika Mkoa wa Dar es Salaam

dc.contributor.authorUrassa, Costansia Cosntantini
dc.date.accessioned2020-12-12T13:32:25Z
dc.date.available2020-12-12T13:32:25Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wirbert Chagula Library, Class mark (THS EAFM1997.A85U72)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unabainisha athari za maendeleo ya sayansi na teknolojia katika fasihi ya watoto hususani nyimbo za michezo ya watoto katika Mkoa wa Dar es Salaam .Watoto wa Mkoa huo wanachukuliwa kama kiwakilishi tu cha watoto wakitanzania popote walipo mijini na vijijini nchini Tanzania ili kufanikisha kupata data za utafiti huu, mtafi ti alitcmbelea rnaeneo yal iyoteul iwa katika Mkoa wa Dar es Salaam katika wilaya zote talu yaani, Wilaya ya Temeke, Wilaya ya Ilala na Wilaya ya Kinondoni, ambayo kwa kiasi fulani yanah usika na maendeleo ya sa) ansi na teknolojia. Mbinu zilizotumika katika kupata data za utafiti huu ni mbinu ya mahojiano/ usaili, mbinu ya hojaji na mbinu ya ushiriki Katika utafiti huu, nadharia ya Sosholojia ilifanikisha uchambuzi sahih wa data za utafiti. Hivyo mtafiti alifanikiwa kubainisha athari Chanya ambazo ni kurahisisha kuenea kwa nyimbo za watoto kutoka eneo moja kwenda nyingine kukuza vipaji vya watoro. kukuza ajira, kuleta umoja miongoni mwa watoto, kutunza kumbukumbu, kuungan isha vizazi mbalimbali na jamii na kukuza ubunifu miongoni mwa watoto. Athari Hasi ni kupoteza utendaji, k.utobadil ika kwa kazi ya sanaa ku lingana na wakati na malezi ya watoto. Hivyo malengo ya utafiti huu yamefikiwa na maswali yamejibiwa kama yalivyokusudiwa. Utafiti huu ulibaini pia kwamba kuna Fulani zilizofanyika na wanazuoni mbalimbali ili kuendeleza Fasihi ya Watoto hususani michezo ya watoto wadogo, na hasa ile inayoambatana na nyimbo. Hata hivyo tafiti zilizofanyiwa kuhusu nyimbo za michezo ya watoto bado hazitoshelezi.en_US
dc.identifier.citationUrassa, C. C (2011) Athari za maendeleo ya Sayansi na teknolojia katika nyimbo za michezo ya watoto: mifano kutoka katika Mkoa wa Dar es Salaam, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13791
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectChildren's songen_US
dc.subjectscienceen_US
dc.subjectTechnologyen_US
dc.subjectDar es Salaamen_US
dc.titleAthari za maendeleo ya Sayansi na teknolojia katika nyimbo za michezo ya watoto: mifano kutoka katika Mkoa wa Dar es Salaamen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Costansia Cosntantini Urassa.pdf
Size:
178.29 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: