Utekelezaji wa sera ya ushilikishwajl kwa kuunda baraza la wafanyakazi na kamati yake ya utendaji kupitia mkataba kati ya mamlaka na Juwata

dc.contributor.authorKayera, J
dc.contributor.authorChausi, E
dc.date.accessioned2021-10-08T11:36:44Z
dc.date.available2021-10-08T11:36:44Z
dc.date.issued1977
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, (EAF FOS U8)en_US
dc.description.abstractKura mujibu va utekelezaji wa siasa ya kuwaahirikisha wafanyakazi katika uongozi wa pamoja mahali pao pa kazi, kama ilivyoagizwa na agizo la rais la 1970, na miongozo mingine inayotekeleza agizo hilo. Mkataba va kuunda Baraza la Wafanyakazi ulifikiwa, kwa mara ya kwanza, kati ya pande mbili: Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Jumuiya ya Wafanyakazi wa Tanzania (JUWATA) tawi la Maaalaka ya hifadhi ya Ngorongoro na Baraza likaundwa tarehe 26/8/77. Mwenyekiti kwa kipindi cha kwanza. Mwenyekiti alikuwa Mhifadhi Mkuu, Wajumbe viongozi 10, wajumbe wa kuchaguliwa 7, wajumbe wa JUWATA (Tawi) 7, Mjumbe wa JUWATA (Taifa) 1, na Mwenyekiti wa C.C.M. 1. Jumla wajumbe 26.en_US
dc.identifier.citationKayera, J, Chausi, E(1977). Utekelezaji wa sera ya ushilikishwajl kwa kuunda baraza la wafanyakazi na kamati yake ya utendaji kupitia mkataba kati ya mamlaka na Juwata, fosbrookeen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15932
dc.language.isoswen_US
dc.publisherFosbrookeen_US
dc.subjectUtekelezajien_US
dc.subjectJuwataen_US
dc.subjectWafanyakazien_US
dc.titleUtekelezaji wa sera ya ushilikishwajl kwa kuunda baraza la wafanyakazi na kamati yake ya utendaji kupitia mkataba kati ya mamlaka na Juwataen_US
dc.typeArticleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
FOSU8.pdf
Size:
1.52 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections