Utekelezaji wa sera ya ushilikishwajl kwa kuunda baraza la wafanyakazi na kamati yake ya utendaji kupitia mkataba kati ya mamlaka na Juwata

Loading...
Thumbnail Image
Date
1977
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Fosbrooke
Abstract
Kura mujibu va utekelezaji wa siasa ya kuwaahirikisha wafanyakazi katika uongozi wa pamoja mahali pao pa kazi, kama ilivyoagizwa na agizo la rais la 1970, na miongozo mingine inayotekeleza agizo hilo. Mkataba va kuunda Baraza la Wafanyakazi ulifikiwa, kwa mara ya kwanza, kati ya pande mbili: Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Jumuiya ya Wafanyakazi wa Tanzania (JUWATA) tawi la Maaalaka ya hifadhi ya Ngorongoro na Baraza likaundwa tarehe 26/8/77. Mwenyekiti kwa kipindi cha kwanza. Mwenyekiti alikuwa Mhifadhi Mkuu, Wajumbe viongozi 10, wajumbe wa kuchaguliwa 7, wajumbe wa JUWATA (Tawi) 7, Mjumbe wa JUWATA (Taifa) 1, na Mwenyekiti wa C.C.M. 1. Jumla wajumbe 26.
Description
Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, (EAF FOS U8)
Keywords
Utekelezaji, Juwata, Wafanyakazi
Citation
Kayera, J, Chausi, E(1977). Utekelezaji wa sera ya ushilikishwajl kwa kuunda baraza la wafanyakazi na kamati yake ya utendaji kupitia mkataba kati ya mamlaka na Juwata, fosbrooke
Collections