Dhima ya nyimbo katika matambiko ya wazaramo

dc.contributor.authorSalehe, Tabia
dc.date.accessioned2019-07-04T10:37:31Z
dc.date.accessioned2020-01-07T16:26:37Z
dc.date.available2019-07-04T10:37:31Z
dc.date.available2020-01-07T16:26:37Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print formen_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu nyimbo za matambiko ya Wazaramo. Data na taarifa za utafiti zimekusanywa kutoka uwandani, na mbinu zilizotumika kukusanyia data ni mbinu za uchunguzi kifani, ushiriki, maktabani na mahojiano. Nadharia ya Semiotiki imetoa mwongozo katika uchambuzi wa nyimbo ishirini na tano tulizoziteua. Uchambuzi wa nyimbo hizo umeibua dhima mbalimbali zinazohusiana na nyimbo hizo. Muundo wa nyimbo hizo na mabadiliko yaliyojitokeza katika nyimbo hizo tangu zamani hadi sasa. Kwa jumla uchambuzi umebainisha kuwa nyimbo hizi zina dhima zenye mafundisho mema kwa jamii husika. Nyimbo hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii ya Wazaramo. Vipengele vichache vya utumizi wa lugha vimejitokeza lakini hatukuvijadili. Mwisho hitimisho la jumla la utafiti mzima pamoja na mapendekezo ya maeneo yanayohitaji kutafitiwa zaidi yameonyeshwa.en_US
dc.identifier.citationSalehe, T. (2011) Dhima ya nyimbo katika matambiko ya wazaramo, Master dissertation, University of Dar es Salaam. Avaialable at (http://41.86.178.3/internetserver3.1.2/search.aspx?formtype=advanced)en_US
dc.identifier.urihttp://localhost:8080/xmlui/handle/123456789/3417
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSwahili languageen_US
dc.subjectZaramo (African people)en_US
dc.titleDhima ya nyimbo katika matambiko ya wazaramoen_US
dc.typeThesisen_US

Files