Ulinganishi wa Kiisimu katika Lahaja za Ki- Ngonde na KI- Mwamba za lugha ya Kinyakyusa

dc.contributor.authorMwambapa, Elisha
dc.date.accessioned2021-02-10T10:07:08Z
dc.date.available2021-02-10T10:07:08Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionAvailable in print form, EAF collection, Dr. Wilbert Chagula Library (THS EAF PL8549.M8521)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulikuwa ni mchakato wa kuchunguza mfanano na tofauti za kiisimu baina ya lahaja yak i-ngonde na ki-mwamba ili kuthibitisha kama ki-ngonde na ki-mwamba ni lahaja za lugha moja, ni lugha mbili tofauti au sio lahaja bali ni lugha moja tu. Utafiti huu umefanyika katika vijiji vya ndala na lugombo katika wilaya ya rungwe na vijiji vya ngeleka na makwale katika wilaya ya kyela katika mkoa wa mbeya. Mbinu za utafiti zilihusu usampulihaji na sampuli na mbinu za ukusanyaji data na mbinu za uchambuzi wa data. Data ya utafiti iliyohusika katika utafiti huu ni data ya kutoka uwandani ambapo maswali mbalimbali yaliulizwa ili kujazwa na watoa taarifa. Msamiati wa lugha ya Kiswahili uliteuliwa ili watoa taarifa waingize ulitumia pia data ya maktabani, (upitia maandiko, kazi hii imegawanyika katika sura ya tano. Sura ya kwanza inaeleza juu ya kiini cha tatizo na mbinu ambazo zimetumika katika kufikia mahitimisho. Sura ya pili imeshughulika mapitio mbalimbali ya maandiko yanayohusu lahaja katika lugha za kibantu ambazo zimewahi kuandikiwa. Sura ya tatu imejihusisha na kujadili mbinu za kukusanya data na mbinu zilizotumika kuchanganua data. Sura ya nne imeshughulikia uwasilishaji na uchanguzi wa data. Data za uwandani zimechanganuliwa kwa njia ya maelezo na majedwali. Uchanganuzi huu wa data umeongozwa na nadharia ya isimu liunganishi na nadharia tete ya ndugu wa karibu na ndugu wa mbali ya nadharia ya makutano na mwachano. Sura ya tano imeshughulikia matokeo ya utafiti yamebainisha kuwa ki-ngonde na ki-mwamba ni lahaja zinazokaribiana sana zenye tofauti ndogo ndogo sana. Kutokana na matokeo hayo tunahitimisha kuwa ki-ngonde na ki-mwamba ni lahaja za lugha ya kinyakyusa zenye tofauti ndogo ndogo.en_US
dc.identifier.citationMwambapa, Elisha (2016) Ulinganishi wa Kiisimu katika Lahaja za Ki- Ngonde na KI- Mwamba za lugha ya Kinyakyusa, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/14707
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectNgondo languageen_US
dc.subjectMwamba languageen_US
dc.subjectNyakyusa languageen_US
dc.titleUlinganishi wa Kiisimu katika Lahaja za Ki- Ngonde na KI- Mwamba za lugha ya Kinyakyusaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Elisha Mwambapa.pdf
Size:
5.44 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: