Utaratibu Wa Utoaji Majina Ya Asili Na Maana Zake Katika Jamii Ya Masai

dc.contributor.authorJohn, Samwel
dc.date.accessioned2021-04-19T14:35:34Z
dc.date.available2021-04-19T14:35:34Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library, class mark (THS EAF PL8501.J63)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu utaratibu wa utoaji majina ya asili na maana zake katika jamii ya mamaasai wanaoishi wilaya ya Arusha vijijini mkoa wa Arusha Tanzania. Utafiti unahusisha jumla ya watoa data 48 kutpka kata za Kiranyi, Oltument na Kisongo.Taarifa zimekusanywa kwa njia ya hojaji na mahojiano. Utafiti ulikusudia kufahamu utaratibu wa utoaji majina ya asili ya rika na ukoo pamoja na maana zake katika jamii ya wamaasai. Ili kutimiza malengo haya mikabala miwiliya klinadharia imetumika mabayo ni; Nadharia ya Makutano na Mwachano na Nadharia ya uimbaji, nadharia ya makutano na Mwachano imetumika kubainisha mazingira ya mkutano yyanayojidhihirisha katika jamii hii kuendelea kutoa majina ya rika kwa kuzingatia matukio ya kihistoria. Mkabala wa uumbaji umetumika kubainisha namna binadam anavyoweza kuuona ulimwengu kupitia taratibu zilizowekwa na lugha yake ya kwanza. Kwa msingi huo majina ya asili ya jamii ya wamaasai yanabeba historia ya jamii hyo. Utafiti huu umebaini kuwa katika jamii ya wamaasai majina ya rika hupewa jina jipya. Utoaji w majina ya rika kwa rika kwa kila hatua husaidia kuhimiza majukumu ya kijamii na mipaka ya kila rika ili kudumisha heshima na uwajibikaji katika jamii. Vilevile majina ya utani wa rikahutumika zaidi ili kutimiza historia ya jamii hiyo. Aidha, utaratibu wa utoaji majina ya ukoo nin wa kurithishana isipokuwa mtu aliruhusiiwa kubadili jina la ukoo kwa utaratibu wa kubadili chapa na alama kwenye masikio ya ng’ombe mbuzi au kondoo pamoja na kunyolewa nywele ili kuashiria kuachana na jina la awalien_US
dc.identifier.citationJohn, Samwel (2016) Utaratibu Wa Utoaji Majina Ya Asili Na Maana Zake Katika Jamii Ya Masai, Masters dissertation, University of Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15129
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectMaasai languageen_US
dc.subjectTraditional namesen_US
dc.subjectNamesen_US
dc.titleUtaratibu Wa Utoaji Majina Ya Asili Na Maana Zake Katika Jamii Ya Masaien_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
SAMWELI JOHN.pdf
Size:
99.71 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: