Taarifa ya tume ya Rais ya uchuguzi wa matukio

dc.date.accessioned2020-09-14T08:21:18Z
dc.date.available2020-09-14T08:21:18Z
dc.date.issued2001-01-26
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.en_US
dc.description.abstractTume iliyoundwa chini ya Rais Benjamin Mkapa kufanya uchungunzi kuhusu chanzo, matukio na athari za matukio ya tarehe 26 na 27 January 2001 ilibaini ya kwamba maandamano yalifanyika kabla ya tarehe hizo husika. Katika Uchungunzi uliofanyika ilibainika kwamba sababu na vyanzo vilivyosababisha matukio ya January 26 na 27 ni udhaifu wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC), uchaguzi haukuwa wa haki na huru, serikali kutoheshimu maamuzi ya wananchi , vyombo vya dola kujiingiza katika siasa nk. Tume iliafiki kuwa yaliyoelezwa ndio vyanzo halisi vya matukio hayo yaliyoleta athari mbalimbali ikiwemo vifo na uharibifu na upotevu wa mali.en_US
dc.identifier.citationTaarifa ya tume ya Rais ya uchuguzi wa matukio (2001, Jauary 26). University of Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13535
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectZECen_US
dc.subjectRais Benjamin Mkapaen_US
dc.titleTaarifa ya tume ya Rais ya uchuguzi wa matukioen_US
dc.typeOtheren_US
Files
Collections