Fonolojia ya Kigweno.

dc.contributor.authorCharles, Asnath
dc.date.accessioned2020-02-18T14:02:47Z
dc.date.available2020-02-18T14:02:47Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8228.24C4752)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umelenga kubainisha miundo ya silabi za Kigweno, michakato ya kifonolojia pamoja na athali zake katika konsonati na irabu za Kigweno. Katika utafiti huu tumetumia hojaji pamoja na kusikiliza mazungumzo ya wazawa kupata data ambapo watoa taarifa wasiopungua 60 kutoka vijiji vya Vuchama. Mangio, Mcheni na Mwaniko walishilikishwa. Nadharia iliyotuongoza Katika uchanganuzi wa data ni nadharia ya Umbo Upeo (UU) ambayo inaachana na matumizi ya kanuni na sheria na badala yake inatumia seti ya mashartizuizi ili kufikia upeo wa ukubalifu. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa, kuna miundo minne ya silabi za Kigweno ambayo ni 1, K,KI na KKI. Tumebaini pia kuwa Kjgweno kina michakato kadhaa ya kifonolojia inayoathiri konsonanti na ile inayoathiri irabu. Inayoathiri irabu ni pamoja na Udondoshaji wa Irabu, Muungano wa irabu. Tangamano la irabu. Uchopekaji wa irabu, Unazalishaji wa irabu pamoja na kanuni ya Uyeyushali. Kwa upside wa michakato inayohusu konsonanti tumebaini kuwepo kwa usilimisho pamwe wa nazali.en_US
dc.identifier.citationCharles, A. (2011). Fonolojia ya Kigweno. Tasnifu ya Uzamili, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/7210
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectGweno languageen_US
dc.subjectPhonologyen_US
dc.titleFonolojia ya Kigweno.en_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Charles 2011.pdf
Size:
81.81 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: