Fasihi simulizi na ukimwi: Mifaano kutoka katika nyimbo za ngoma ya wigashe ya wasukuma

dc.contributor.authorNzobe, Lucia Raphael
dc.date.accessioned2021-08-13T11:47:49Z
dc.date.available2021-08-13T11:47:49Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library, (THS EAF PL8694.S94N96)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umechambua nyimbo za ngoma ya Wigashe. Utafiti ulihusisha nyimbo mbalimbaliza ngoma ya Wigashe zinazohusu UKIMWI. Lengo katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ugonjwa wa UKIMWI katika nyimbo za ngoma ya Wagashe Data na taaarifaa za utafiti huu zimekusanywa kutoka maktabani na uwandani, na mbinu zilizotumika katika kutupatia data ni mbinu za uchambuzi matini, mbinu ya mahojiano pamoja na majadiliano ya vikundi amabzo zilitupatia data za msingi na data za upili. katika utafiti wetu zimetumika nyimbo nane na uchunguzi wa nyimbo hizo umefanyika kwa kutumiua mkabala wa kimaelezo kwa kuongozwa na nadharia ya Usosholojia. Baada ya uchambuzi wa nyimbo hizo imebainika kuwa dhamira katika nyimbo hizo zinaujadili ugonjwa wa UKIMWI kwa namna mbalimbali. Kuna dhamira zinazohusu sababu za maabukizi, dalili za UKIMWI, ushauri na uhamasishaji juu ya ugonjwa huu na zile zinazozungumzia juu ya tiba ya UKIMWI. Pia, imedhihirika kuwa ushindani katika nyimbo za ngoma ya Wigashe pamoja na matumizi ya tamadhali za semi vimesaidia kwa kiasi kikubwa katika kuibua dhamira mbalimbali zinazohusu ugojwa wa UKIMWI. Mwisho, limetolewa hitimisho la utafiti mzima pamoja na mapendekezo ya maeneo ambayo yanahiotaji kutafitiwa zaidi ili kuweza kukuza uelewa wa nafasi ya kazi za fasihi simulizi za kabila la Wasukuma katika kuzungumzia masuala ya kijamiien_US
dc.identifier.citationNzobe, L.R (2012) Fasihi simulizi na ukimwi: Mifaano kutoka katika nyimbo za ngoma ya wigashe ya wasukuma, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15391
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSukuma languageen_US
dc.subjectTraditional danceen_US
dc.subjectWigasheen_US
dc.subjectAids (Disease)en_US
dc.titleFasihi simulizi na ukimwi: Mifaano kutoka katika nyimbo za ngoma ya wigashe ya wasukumaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Lucia Raphael Nzobe.pdf
Size:
5.71 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: