Tenzi za Wahenga

Permanent URI for this collection

Browse

Recent Submissions

Now showing 1 - 10 of 10
  • Item
    teuzi za nafsi
    (University of Dar es salaam, 1972) SEMGHANGA, FRANCIS H. J.
    katika utenzi huu unaelezea zamani wakati tukiwa tumekabwa na mikatale ya ukoloni lingekuwa jambo lisilowezekana kwa mtu mdogo hivi kujaribu kingia katika mstari wa waandishi. siku hizi mikatale imefunguliwa na kila mwananchi amehakikishiwa usikizi endapo amekusudia kujitokeza aeleze lake. ama kwa kweli hatuna budi tuushangilie uhuru wetu kwa kuturejeshea haki hii iliyokuwa imetopolewa na mkoloni
  • Item
    Koja la lugha
    (Oxford University Press, 1969) Robert, Shaaban
    Kwa asili shairi hili liliandikwa na Francois Marie Arouet de Voltaire aliyeishi zamani za 1694-1778, Karne mbili na nusu zilizopita. Huyu ni mmoja wa walimu wakuu na mwandishi bora kabisa wa kifaransa.Kwa tafsiri ya kiingeleza iliyofanywa na Joseph McCabe shairi hili lilipangwa kwa beti kumi za mistari 234.Kwa tafsiri ya kiswahili limeandikwa na nguli Shaaban Robert na kupangwa kwa beti 48 za mistari 240,kila ubeti mistari mitano. Usanifu wa shairi hili wapendeza na kufikirisha sana.
  • Item
    Utenzi wa Seyyidna Huseni bin Ali.
    (East African Literature Bureau, 1965) Abdallah, Hemed
    Ni utenzi wa historia ya hussein bin Ali
  • Item
    Elisi katika nchi ya ajabu
    (Sheldon Press, 1940) Carroll, Lewis
    Elisi katika nchi ya ajabu ni mfululizo wa hadithi mbalimbali , hii ni hadithi inayomuelezea mzungu aliyewapenda watoto na kuwasimulia habari tamu sana za ndoto ikiwemo habari za mtoto yule katika nchi ya ajabu.
  • Item
    utenzi wa injili
    (ndanda mission press, 1962) mnyapala, E. Mathias
    utenzi huu ni maneno yaliandikwa kutokana na enjili nne-enjili ya mateo, marko,luka na yoane. enjili zote hizo nne ndizo zilizoshika imani ya kila mkristu wa madhehebu yyote ile iliyomo ulimwenguni humu
  • Item
    Kwanza uanze kupanda
    (1963-05-18) Mwanahewa, R.A
  • Item
    Wema wa mtu kauli
    (1963-05-11) Mwanahewa, R.A
  • Item
    Tumbeane salama
    (1963-04-29) Mwanahewa, R.A
  • Item
    Yamewachukiza watu
    (1963-04-23) Mwanahewa, R.A
  • Item
    Karibuni wageni watukufu
    (1960) Karama, Said
    Mashairi haya yakitungwa wakati H.H Sultani wa Unguja alipokua yupita Mombaza kwenda katika mapumziko yake huyo ulaya ya ingereza tarehe 21 jubi 1960. Mtunzi ni Al- Ustada Said Kalama wa Kileleni Mombaza