Koja la lugha

Date

1969

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Oxford University Press

Abstract

Kwa asili shairi hili liliandikwa na Francois Marie Arouet de Voltaire aliyeishi zamani za 1694-1778, Karne mbili na nusu zilizopita. Huyu ni mmoja wa walimu wakuu na mwandishi bora kabisa wa kifaransa.Kwa tafsiri ya kiingeleza iliyofanywa na Joseph McCabe shairi hili lilipangwa kwa beti kumi za mistari 234.Kwa tafsiri ya kiswahili limeandikwa na nguli Shaaban Robert na kupangwa kwa beti 48 za mistari 240,kila ubeti mistari mitano. Usanifu wa shairi hili wapendeza na kufikirisha sana.

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PL8704.R62K65 )

Keywords

Swahili poetry, Koja la lugha

Citation

Robert, Shaaban (1969) Koja la lugha,Oxford University Press,Nairobi.

Collections