(East African Publishing House, 1976) Nyerere, Julius Kambarage
Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Raisi wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa magezeti David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika gazeti la kiingereza, New internationalist, tolea la Mei, 1973