(Tanzania Publishing House Ltd., 1990) Ngh'waya, Simon
Kitabu hichi kimeelezea mashtaka dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere kuhusu Ma DC wawili wa kikoloni. Mashtaka hayo yalitokana na gazeti la TANU la wakati ule 'Sauti ya TANU' namba 29 lilitolewa tarehe 7 Mei, 1958, kuhusu udhalimu wa wakoloni katika ukanda wa ziwa Victoria.