(Makao Makuu, Dodoma Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, 1987) Nyerere, Julius. K
Kitabu hichi kina hotuba mbili zilizotolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kuhimiza utekelezaji wa mradi wa kuimarisha chama.Hotuba hizo alizitoa mjini Moshi tarehe 20 septemba 1987 na Dodoma tarehe 25 1987