Books about and by Mwalimu Nyerere
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Books about and by Mwalimu Nyerere by Subject "Arusha Declaration,"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Azimio la Arusha baada ya miaka kumi(Government Printer, 1977) Nyerere, Julius Kambarage; Nyerere, J.KAzimio la Arusha ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza Tanzania katika njia ya ujamaa kadiri ya maelekezo hasa ya Julius Kambarage Nyerere.Jina la azimio linatokana na mji wa Arusha lilipitishwa tarehe 26-29 Januari 1967. Tarehe 5 Februari 1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza huko Dar es Salaam kama uamuzi wa Watanzania wa kuondoa unyonge wao.Tamko la Arusha lina sehemu tano: Itikadi ya chama cha TANU; Siasa ya ujamaa; Siasa ya kujitegemea; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha.