Siku ya mtoto wa Afrika ni siku maalum iliyoteuliwa na umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kuadhimisha haki ya mtoto wa Afrika. Japo ni siku ya furaha kwa watoto lakini furahi hii si kwa watoto wote wa Afrika kwani watoto wengi wa Afrika bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kufurahia maisha yao, changamoto hizi ni pamoja na vita, maradhi, njaa nk...