Social issues
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Social issues by Subject "Kimara"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mgongano kwenye machimbo ya madini na sakata la bomoabomoa Ubungo na Kimara(University of Dar es Salaam, 2001-04-30)Mapigano yaliyotokea katika machimbo ya merereni na kusababisha kifo cha mchimbaji mdogo yalipelekea viongozi wa serikali (CCM) pamoja na wamiliki kuhojiwa na police. Katika tukio lingine la sakata la boaboa Ubungo na Kimara jijini Dar es Salaam lilisababisha taasisi mbalimbali kuwa na azimio la kuifikisha serikali mahakamani kufatia wakazi wa maeneo hayo kukosa makazi na kuwapelekea kuweka kambi nje ya ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) na waliweza kugoma kuondoka eneo hilo mpaka walipwe. fidia.