Politics
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Politics by Subject "Hospitali ya Taifa Muhimbili"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Rashid Mfaume Kawawa 1926-2009(University of Dar es Salaam, 2010-01-01)Waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais mstaafu, mzee Rashid Mfaume kawawa alifariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa baada ya afya yake kubadirika ghafla. Mzee Kawawa alikua miongoni mwa wanasiasa na watanzania waliokua nguzo kubwa ya kutete na kuulinda muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mzee Mfaume Kawawa alitumia muda mwingi kuhimiza umoja na mshikamano wa watanzania wakati wa uhai wake. Mzee Kawawa alizikwa nyumbani kwake Madale January 2, 2010.