Politics
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Politics by Subject "Hassan Kirungi"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mauaji Wilayani Kilosa(Uiversity of Dar es Salaam, 2000-10-27)Watu saba walifariki katika mapigano baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Chanzo cha mapigano hayo kilikuwa ni ugomvi baina ya mfugaji mmoja wa jamii ya kimasai kupigwa risasi kichwani na mkulima aliyefahamika kama Hasssan Kirungi. Kabla ya mauaji wafugaji waliwashambulia wakulima na wanakijiji na baadaye kuchoma moto nyumba mbili za mwenyekiti wa kitongoji cha kikenge.