Politics
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Politics by Subject "Dk. Kitine"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Corruption in Tanzania: Killing knife of the national development(Uiversity of Dar es Salaam, 2003-01-22)Magazeti mbalimbali yaliadika juu ya mjadala aliouzua Dk. Kitine juu ya kushamiri kwa rushwa katika serikali na chama tawala. Mjadala huo ulizuka baada ya Jaji Joseph Warioba kutoa ripoti kuhusu rushwa kutofanyiwa kazi ipasavyo. Naye profesa Lipumba alisema katika mihadhara iliyofanyika nchini Swedeni, tathmini ya sera za maendeleo Tanzania, repoti ya rushwa ya jaji Warioba ilichambuliwa na kubaini kua ripoti hiyo iliwafatilia wala rushwa wadogo (Dagaa) na kuwaacha wala rushwa wakubwa (Papa).