Tenzi za Wahenga
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Tenzi za Wahenga by Subject "Koja la lugha"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Koja la lugha(Oxford University Press, 1969) Robert, ShaabanKwa asili shairi hili liliandikwa na Francois Marie Arouet de Voltaire aliyeishi zamani za 1694-1778, Karne mbili na nusu zilizopita. Huyu ni mmoja wa walimu wakuu na mwandishi bora kabisa wa kifaransa.Kwa tafsiri ya kiingeleza iliyofanywa na Joseph McCabe shairi hili lilipangwa kwa beti kumi za mistari 234.Kwa tafsiri ya kiswahili limeandikwa na nguli Shaaban Robert na kupangwa kwa beti 48 za mistari 240,kila ubeti mistari mitano. Usanifu wa shairi hili wapendeza na kufikirisha sana.