(Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania, 1990) Sauti ya Siti
Tanzania ni inchi inayoongoza baraza africa kwani imeanikwa kuwa na asilimia 85 ya watu wanao jua kusoma na kuandika. Hii inamaana kuwa wazima walio wengi wanajua kusoma ,kuandika, na kufanya hesabu rahisi.