Miaka 20 ya elimu ya watu wazima; kufuta ujinga sasa tunataka haki na usawa
No Thumbnail Available
Date
1990
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania
Abstract
Tanzania ni inchi inayoongoza baraza africa kwani imeanikwa kuwa na asilimia 85 ya watu wanao jua kusoma na kuandika. Hii inamaana kuwa wazima walio wengi wanajua kusoma ,kuandika, na kufanya hesabu rahisi.
Description
Available in print form
Keywords
Sauti ya Siti, Elimu ya watu wazima, kufuta ujinga