Kona ya Kiswahili
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Kona ya Kiswahili by Subject "Kisa cha Hamisi"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kisa cha Hamisi(Kenya Longmans, 1968) Omolo, Leo OderaHamisi alipowasili Kisumu mjini alikuwa kijana maskini hohe hahe,hana nguo wala kazi. Baada ya mda si mrefu mambo yalimgeukia hamisi hivi sasa ni tajiri mkubwa mjini kisumu. Utajiri wa hamisi haukutokana na uhalifu wala dhulma,Bali ni kwa uaminifu mkubwa.Hamisi alionyesha moyo wa uthabiti na uaminifu kwa tajiri yake Shuka alipowavizia na kuwashikisha wezi waliotamani kuiba mali ya tajiri huyo.Je bosi huyo alifanyeje kwa Hamisi karibu usome hadithi hii.