Kisa cha Hamisi

Date

1968

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Kenya Longmans

Abstract

Hamisi alipowasili Kisumu mjini alikuwa kijana maskini hohe hahe,hana nguo wala kazi. Baada ya mda si mrefu mambo yalimgeukia hamisi hivi sasa ni tajiri mkubwa mjini kisumu. Utajiri wa hamisi haukutokana na uhalifu wala dhulma,Bali ni kwa uaminifu mkubwa.Hamisi alionyesha moyo wa uthabiti na uaminifu kwa tajiri yake Shuka alipowavizia na kuwashikisha wezi waliotamani kuiba mali ya tajiri huyo.Je bosi huyo alifanyeje kwa Hamisi karibu usome hadithi hii.

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.O44K5)

Keywords

Swahilii literature, Kisa cha Hamisi

Citation

Omolo, Leo Odera (1968).Kisa cha Hamisi,Kenya Longmans,Nairobi.