Taarifa ya U.W.T kwa miaka mitano (1977/1982) inaonesha kuwa hali ya maendeleo ya vikundi vya wanawake haikuwa nzuri. Hii ilitokana na vita vya nduli Idd Amin, kucheleweshwa kwa uteuzi wa makatibu wa wilaya,mikoa na taifa pamoja na mlipuko wa maradhi ya kipindupindu.