Hadithi za wahenga
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Hadithi za wahenga by Author "Omolo, Leo Odera"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Kisa cha Hamisi(Kenya Longmans, 1968) Omolo, Leo OderaHamisi alipowasili Kisumu mjini alikuwa kijana maskini hohe hahe,hana nguo wala kazi. Baada ya mda si mrefu mambo yalimgeukia hamisi hivi sasa ni tajiri mkubwa mjini kisumu. Utajiri wa hamisi haukutokana na uhalifu wala dhulma,Bali ni kwa uaminifu mkubwa.Hamisi alionyesha moyo wa uthabiti na uaminifu kwa tajiri yake Shuka alipowavizia na kuwashikisha wezi waliotamani kuiba mali ya tajiri huyo.Je bosi huyo alifanyeje kwa Hamisi karibu usome hadithi hii.Item Mfalme na majitu(East African Publishing House, 1972) Omolo, Leo OderaNi hadithi za kikwetu zenye mkusanyiko wa masimulizi mbalimbali ikiwemo hadithi :- mfalme na waganga, njaa na maafa,shujaa na majitu,binti malidadi na waganga na maafa