Hadithi za wahenga
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Hadithi za wahenga by Author "Makungu, Hamidi Vuai"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Sivyo ilivyo(Zanzibar publishers, 1970) Makungu, Hamidi VuaiSiku moja katika siku saba zinazojirudia zizo kwa zizo katika maisha yetu,Shungi baada ya kufikiri hali ya udhaifu wa maisha yake hasa kwa vile hakusoma na bahati yake ya kukosa kazi, kila alikotoka maofisini,viwandani hata kwa matajiri,aliamua kwenda kuangalia hali yake kwa mganga ili afanyiwe maarifa ya kazi.Shungi kadharauliwa na kila mtu pengine hata na Bi Nali mke wa rafiki yake,yawezekana hata na mzee Finya anamdharau shungi, Dharau ni nini? Kule kumuonea huruma mtu nayo ni dharau, unamdharau kwasababu kwasababu hawezi kujimudu.