Kona ya Kiswahili
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Kona ya Kiswahili by Author "Akwisombe, Jacob B."
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Jero Sikitu(Tanzania Publishing House, 1972) Akwisombe, Jacob B.''Jero si kitu ni hadithi inayoelezea juu ya maisha ya Afisa mmoja wa kilimo ambaye aliamini kwamba ingawaje madaraka yake yalimtaka aishi mjini na kufanya kazi katika makao makuu ya wizara, aliweza kuwa manufaa zaidi kwa wananchi kwa kuhamia katika kijiji kilichokuwa karibu na hapo mjini.Alilazimika kusafiri kila siku kwenda kazin kwake,lakini vile vile aliweza kupata nafasi baada ya saa za kazi na katika siku zake za mapumziko,kuwashauri wanakijiji hicho mambo ya kilimo,ingawa yeye,kama ilivyo kawaida kwa wengi wetu,alikuwa na matatizo yake binafsi yaliyokuwa na nguvu ya kuweza kumwondoa azma yake hiyo katu hakukata tamaa.