Jero Sikitu

Date

1972

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tanzania Publishing House

Abstract

''Jero si kitu ni hadithi inayoelezea juu ya maisha ya Afisa mmoja wa kilimo ambaye aliamini kwamba ingawaje madaraka yake yalimtaka aishi mjini na kufanya kazi katika makao makuu ya wizara, aliweza kuwa manufaa zaidi kwa wananchi kwa kuhamia katika kijiji kilichokuwa karibu na hapo mjini.Alilazimika kusafiri kila siku kwenda kazin kwake,lakini vile vile aliweza kupata nafasi baada ya saa za kazi na katika siku zake za mapumziko,kuwashauri wanakijiji hicho mambo ya kilimo,ingawa yeye,kama ilivyo kawaida kwa wengi wetu,alikuwa na matatizo yake binafsi yaliyokuwa na nguvu ya kuweza kumwondoa azma yake hiyo katu hakukata tamaa.

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.A53J4)

Keywords

Swahili language, Swahili literature, Jero Sikitu

Citation

Akwisombe, Jacob B.(1972) Jero Sikitu,Dar es Salaam: Tanzania Publishing House