Rais alakiwa kwa shangwe Tanga

Loading...
Thumbnail Image
Date
1975-03-19
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya habari na utangazaji
Abstract
Halaiki ya wananchi wa Tanga wakiwemo wanafunzi na wanamgambo wakiongozwa na viongozi wa TANU na serikali walimpokea kwa shangwe Rais Nyerere alipowasili kuanza ziara ya wiki moja Tanga.
Description
Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, EAF PER AP 95.T3 I5
Keywords
Rais Nyerere, Wizara ya habari na utangazaji, Tanga, TANU
Citation
Rais alakiwa kwa shangwe Tanga (1975, Machi 19). Wizara ya habari na utangazaji
Collections