Browse
Recent Submissions
Item Tandau katibu mkuu wa NUTA(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-19)Rais Nyerere alimteua Alfred C. Tandau kuwa katibu wa NUTA badala ya M.M.Kamaliza ambaye muda wake ulimalizika. Rais pia alimteua Crispin Tungaraza kuwa Naibu wa katibu mkuu wa NUTA.Item Tanzania shocked by chitepo's murder(Ministry of Information and Broadcasting, 1975-03-19)President Nyerere sent a message to President of the African National Congress of Zimbabwe, bishop Abel Muzorewa concerning the murder of Hubert Chitepo co-chairman of the African National Council.Item Temu, mkurugenzi mpya wa chuo cha fedha(Wizara ya Habari na Utangazaji, 1975-03-03)Rais Nyerere, alimteua dakta Peter E. Temu, kuwa mkurugenzi wa chuo cha uangalizi wa fedha (Institute of Finance Management).Item Wakuu wa mikoa na wakuu wa kilimo wakutana mjini Dar es Salaam(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-13)Rais, Julius K. Nyerere alifungua mkutano wa maafisa wakuu wa kilimo na wakuu wa mikoa, uliofanyika mjini Dar es Salaam. Mwalimu alizungumzia juu ya siasa ya ujamaa na maendeleo vijijini.Item Tandau katibu mkuu wa NUTA(Minitry of Information and Tourism, 1969-03-19)Rais Nyerere alimteua Alfred C. Tandau kuwa katibu mkuu wa Nuta, badala ya M.M. Kamaliza ambaye muda wake ulimalizika. Pia alimteua Crispin Tungaraza kuwa naibu wa katibu mkuu Nuta.Item Rais atembelea shamba la gereza la Songwe(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-13)Rais Nyerere alitembelea shamba la magereza la Songwe, maili 25 kutoka Mbeya. Alionyeshwa kazi mbalimbali zinazofanyika katika shamba hilo na nyumba za magogo zinazojengwa na wafungwa na askari kwa njia ya kujitegemeaItem Rais alakiwa kwa shangwe Tanga(Wizara ya habari na utangazaji, 1975-03-19)Halaiki ya wananchi wa Tanga wakiwemo wanafunzi na wanamgambo wakiongozwa na viongozi wa TANU na serikali walimpokea kwa shangwe Rais Nyerere alipowasili kuanza ziara ya wiki moja Tanga.Item President proclaims establishment lindi region(Ministry of information and tourism, 1971-06-25) Nyerere, Julius KambaragePresident Nyerere has signed a proclamation for the establishment of new region of Lindi. The proclamation comes into effects on July 1, 1971Item President Kaunda and Nyerere leave for Mogadishu(Ministry of information and broadcasting, 1974-06-11) Nyerere, Julius KambaragePresident K. Kaunda of Zambia and President Nyerere left Dar es Salaam in separate aircraft for Mogadishu, Somalia to attend the 11th summit conference of the organization of African UnityItem President appoints memebers of appeals tribunal(Ministry of information and Tourism, 1971-06-26) Nyerere, Julius NyererePresident Nyerere has appointed Chief Erasto Mang'enya M.P to be a chairman of the appeals Tribunal which all ppeal cases under the acquisition of building actsItem President Nyerere's address to the East African legislative assembly Arusha(Ministry of information and Broadcasting, 1975-01-16) Nyerere, Julius KambaragePresident Nyerere's address to the East African legislative assembly ArushaItem Pan-African Congress Adopts Mwalimu's And Toure's speech(Ministry of information and broadcasting, 1974-06-24) Nyerere, Julius KambarageMessage from president Nyerere and president Sekou Toure of Guinea to the Sixth Pan-African Congress in meeting in Dar es Salaam have been adopted by the session currently meetingItem Nyerere to open O.A.U extraordinary meeting(Ministry of information and broadcasting, 1975-04-02) Nyerere, Julius KambaragePresident Nyerere expected to open the 24th extraordinary session of the O.A.U Foreign Ministers' conference at the Diamond Jubilee Hall in Dar es SalaamItem Nyerere, Kaunda and khama meets in Mbala(Ministry of information and broadcasting, 1975-01-19) Nyerere, Julius KamabaragePresident Nyerere left Dodoma for Mbala in Zambia for talks with president Kaunda of Zambia and president Seretse Khama of BostwabaItem President Nyerere's speech at the launche on a given by the Lautenant-governor(Ministry of information and tourism, 1969-10-02) Nyerere, Julius KambaragePresident Nyerere's speech at the lunches on given by the Lieutenant-Governor, Ontario provinceItem Rais Nyerere awasili Shinyanga(Wizara ya habari na utamaduni, 1975-03-08)Rais Nyerere alikabidhiwa jumla ya sh. 21,370/= zilizochangwa na wafanya kazi wa Mwadui kusaidia ukombozi wa Afrika na makao makuu ya TANU Dodoma.Item Rais afungua mkutano(Minisrty of Information and Tourism, 1969-03-17)Rais Nyerere iliiambia Wizara ya Kilimo, Chakula na Vyama vya Ushirika ikazane sana ukulima wa mashamba makubwa ya serikali popote inapowezekana kufanya hivyo ili kutoa mfano wa kilimo bora kwa wananchi vijijini.Item Rais Nyerere afanya mabadiliko ya wafanyakazi serikalini(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-14)Rais Nyerere alimchagua bwana D.N.M Mloko kuwa katibu mkuu katika wizara ya habari na utalii, badala ya bwana B. Mkatte ambaye anapata uhamisho kwenda Musoma kuwa katibu wa utawala wa Mkoa wa Mara.Item President Nyerere's speech to the banquet for king Baudouin(Ministry of Information and Broadcasting, 1975-03-01)President Nyerere welcomed King Baudouin and Queen Fabiola to our country as an indication of the Belgian people's desire for friendship between the two nations.Item President Nyerere Indisposed(Ministry of Information and Tourism, 1969-03-20)The President, Mwalimu Julius K. Nyerere, was slightly indisposed, therefore he was forced to cancel his journey to Kampala where he was expected to confer degrees of the University of East Africa at Makerere University college.