Serikali ya awamu ya nne na ujambazi

Date

2006-01-24

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

University of Dar es Salaam

Abstract

Katika uongozi wa awamu ya nne, majambazi waliijaribu na kuitikisa serikali ya Kikwete kwa uporaji na mauaji mbalimbali. Miongoni mwa majambazi hao, walikuwemo vigogo wa jeshi la polisi wakiwemo makamanda wa polisi wa mikoa nao walituhumiwa wa ujambazi.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Rais Kikwete, IGP, Mwapachu, Polisi

Citation

Serikali ya awamu ya nne na ujambazi (2006, January 24). University of Dar es Salaam.

Collections