Mwasi

Date

1972

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Heinemann

Abstract

Kijiji cha pachanga kilikuwa kimelogwa na madhehebu ya watu walioamini pepo. hili ilifanyika kwa kuiabudu miungu ya mito na ardhi.Miungu hii iliaminiwa kuongoza maisha ulimwenguni na sudi za maisha ya wanadamu.Hata ajabu za maumbile zilisababishwa na miungu.Mzee matata ndiye aliyekuwa mjumbe baina ya miungu na wanadamu.Mtu mzima huyu aliyekuwa amenenepa na aliyeogopwa na kuheshimiwa na watu wote.Mzee matata alisifika mno kwani ilisadikiwa alikuwa na uwezo wa kuzianzisha nguvu za miungu-nguvu ambazo ziliweza kuyaumbua,kuyaangamiza au kuyaneemesha maisha kwa kunuiza maneno machache

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (IKR GR73.Z3H3)

Keywords

Swahili literature, Mwasi, Bediako Asare, Waandishi wa Afrika

Citation

Zaidi, N (1972). Mwasi:Bediako Asare.Heinemann,Nairobi.