Matumizi ya ishara katika riwaya za S. Chachange: makuadi wa soko huria na almasi za bandia

dc.contributor.authorRugebandiza, Alfred
dc.date.accessioned2021-01-23T08:45:26Z
dc.date.available2021-01-23T08:45:26Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print form, EAF collection, Dr. Wilbert Chagula Library, class mark ( THS EAF PL8704.A3R83 )en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu matumizi ya ishara katika riwaya za S.Chachage amabazo ni lmasi za bandia na Makuadi wa soko huria. Utafiti huu unakusudiwa kuchiunguzwa ishara zinazojitokeza na zinavyoweza kupatiwa maana kulingana na hali, historian a mazingira ya msomaji. Malengo ya utafiti huu ni kubainisha na kuainisha ishara zinazojitokeza katika riwaya teule, na kueleza jinsi ishara hizi zinavyojenga dhamira katiklamriwaya zitakazoshughulikiwa. Katika utafit huu mbinu ya maktabani imetumika mtafiti ameweza kusoma, kudurusu vitabu, majarida na nyarak mbalimbali katika makatba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ili kupata data ya kazi yake.Matokeo ya utafiti huu yameonesha kwamba kazi ya fasihi ina urejelezi wan je na ishara hupatiwa maana na kuibua dhamira kulingana na uzoefu, historia, utamaduni na mtazamo wa msomaji. Pia uchambuzi umefanywa kwa kutumia aina tano za ishara za nadharia ya semiotiki zilizopendekezwa na Barthes.Utafiti huu unapendekeza tafiti zaidi kuhusiana na aina nyingine za ishara zilizopendekezwa na wataalamu wengine.en_US
dc.identifier.citationRugebandiza, A ( 2011 ) Matumizi ya ishara katika riwaya za S. Chachange: makuadi wa soko huria na almasi za bandia, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/14334
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSwahili literatureen_US
dc.subjectMakuadi wa soko huriaen_US
dc.subjectAlmasi ya bandiaen_US
dc.subjectChachage, Sen_US
dc.titleMatumizi ya ishara katika riwaya za S. Chachange: makuadi wa soko huria na almasi za bandiaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Alfred Rugebandiza.pdf
Size:
5.51 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: