Maadamano ya CUF.

dc.date.accessioned2020-09-18T07:28:22Z
dc.date.available2020-09-18T07:28:22Z
dc.date.issued2001-01-18
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.en_US
dc.description.abstractMagazeti mbalimbali yaliandika juu ya maadamano ya Chama Cha Wananchi CUF. Chama cha CUF kiliandaa maadamano ya amani yaliopangwa kufanyika kote nchini January 27 kabla ya kumalizika kwa muda wa siku 90 ambazo chama kilitaka uchaguzi wa Zanzibar uwe umerejea na kusema kua endapo uchaguzi hautaitishwa baada ya siku 90 basi kitakuwepo kisasi kwa sababu uchaguzi Zanzibar haukuwa wa huru na haki. Pamoja na Jeshi la police kuzuia maadamano hayo lakini mkuu wa CUF bwana Juma Duni Haji alisema maandamano yao lazima yafanyike January 27 2001en_US
dc.identifier.citationMaadamano ya CUF (2001, January 18). University of Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13550
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectCUFen_US
dc.subjectZanzibaren_US
dc.titleMaadamano ya CUF.en_US
dc.typeOtheren_US
Files
Collections