Kufikirika

Loading...
Thumbnail Image
Date
1967
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mkuki na Nyota
Abstract
KUFIKIRIKA ni nchi moja kubwa katika nchi za dunia,Kaskazini imepakana na Nchi za Anasa,Kusini nchi ya majaribu,Mashariki Bahari ya kufaulu na magharibi safu ya milima ya jitihadi.Ramani ya nchi hiyo ni adimu kupatikana kwasababu nchi yenyewe haiandikiki ila hufikirika kwa mawazo tu.Njia ya kwenda nchi hiyo hukanyagwa kwa fikira siyo nyayo.Wafikirika wengi nao ni wazazi mno, nyumba ina watoto wanane hata kumi na sita si jambo la ajabu.Jumla ya wafikikirika ni sawa na nusu moja ya makabila yote duniani. ina ufalme mkubwa kuliko falme zote za mataifa mengine,Raha inayopatikana katika nchi yakufikirika ni kama kama ile iliyo katka pepo, isipokuwa katika kufikirika kuna maradhi na mauti lakini katika pepo kuna uzima na maisha ya milele.Nchi hiyo ilitawaliwa na nasaba kubwa sana ya wafalme ambao waliungana kwa viungo vyao kama mkufu, lakini mfalme wa mwisho alichelewa kupata mtoto wa kumrithi. kitabu hiki kinasimulia habari ya mfalme huyo
Description
Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.R62K84)
Keywords
Swahili-literature, Kufikirika
Citation
Robert, Shaaban (1967) Kufikirika,Mkuki na Nyota:Nairobi