Rais Nyerere afanya mabadiliko ya wafanyakazi serikalini

Date

1969-03-14

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Ministry of Information and Tourism

Abstract

Rais Nyerere alimchagua bwana D.N.M Mloko kuwa katibu mkuu katika wizara ya habari na utalii, badala ya bwana B. Mkatte ambaye anapata uhamisho kwenda Musoma kuwa katibu wa utawala wa Mkoa wa Mara.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, EAF PER AP 95.T3 I5

Keywords

President Nyerere, Ministry of Information and Tourism, Mloka

Citation

Rais Nyerere afanya mabadiliko ya wafanyakazi serikalini (1969, March 14). Ministry of Information and Tourism

Collections