Lila na fila

Date

1966

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tanzania Longmans

Abstract

Hadithi hii inathibitisha ukweli wa methali "LILA NA FILA HAVITENGAMANI.INAONYESHA WAZI ukweliwa usemi wa mtaalamu William Shakespeare kwamba "MAOVU WAYATENDAO WANADAMU HUDUMU NAO HATA WAKISHAKUFA" wanadamu mara nyingi huwadhulumu wanadamu wenzao, lakini kwa bahati nzuri mzima nyota ni Mungu,Pengine dhulma yao hushindwa hatimaye Mwenyezimungu huyapindua maisha yao na kuwaonyesha wanadamu ni viumbe duni hata wakijifanya miungu wadogo.

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.K55L56)

Keywords

Swahili literature, Lila na fila

Citation

Kiimbila, J. K.(1966).Lila na fila,Tanzania Longmans,Arusha.