Tandau katibu mkuu wa NUTA
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Minitry of Information and Tourism
Abstract
Rais Nyerere alimteua Alfred C. Tandau kuwa katibu mkuu wa Nuta, badala ya M.M. Kamaliza ambaye muda wake ulimalizika. Pia alimteua Crispin Tungaraza kuwa naibu wa katibu mkuu Nuta.
Description
Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, EAF PER PA T3.I5
Citation
Tandau katibu mkuu wa NUTA