Peke yangu mjini

Loading...
Thumbnail Image
Date
1972
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Central Tanganyika Press
Abstract
Ni hadithi inayomuangazia Ani (msichana) alikuwa katika jiji kubwa la Dar es salaam kuanza kazi kwa mara ya kwanza katika maisha yake. Mbali kutoka katika maisha yake ya kijijini,Mbali na wazazi wake,Jamaa zake,Walimu wake na sasa yupo mjini mahali ambapo anaona kila kitu ni tofauti kubwa.Mara tu alipofika alikuwa na matazamio makubwa juu ya maisha katika jiji lile kubwa akitazamia kuwa msichana wa kupata kila kitu kwa hali ya juu zaidi na kuona vitu vipya ambavyo katika kijiji chake hangeweza kuvipata.
Description
Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.M18P41)
Keywords
Swahili literature, Peke yangu mjini
Citation
Mandao, Martha (1972) Peke yangu mjini,Dodoma;Central Tanganyika Press