Matumizi ya Taswira katika nyimbo za Kisazi za jamii ya Wazigua kutoka Somalia

dc.contributor.authorKussaka, Mariam Bakari
dc.date.accessioned2021-08-09T10:06:38Z
dc.date.available2021-08-09T10:06:38Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library, class mark (THS EAF PL8831.K87)en_US
dc.description.abstractLengo la utafiti huu ni kuchunguza vipengele vya fasihi simulizi vinavyosaidia kutoa ujumbe katika jamii. Utafiti huu umefanya uchambuzi wa nyimbo kumi za kisazi za jamii ya Wazigua kutoka Somalia na kubainisha aina za taswira zinazopatikana katika nyimbo hizo. Zaidi ya hayo, utafiti umejadili jinsi matumizi ya taswira hizo yanavyofikisha ujumbe kwa walengwa. Nyimbo hizo zimechambuliwa ili kuweza kubainisha umuhimu wa taswira hizo katika kutoa ujumbe kwenye kumuandaa binti katika maisha yake ya utu uzima. Aidha, kwa kutumia nadharia ya Semiotiki, tasnifu hii imejenga hoja zilizoongoza utafiti huu kwamba taswira zina matumizi makubwa katika kutoa mafunzo kwa wari. Matokeo ya utafiti yamedhihiriswa kuwa taswira za kuonekana ndizo hutumika kwa wingi katika nyimbo za Kisazi ya wazigua kutoka Somalia na kwamba taswira hizi husaidia kufikisha ujumbe kwa walengwa kwa haraka.en_US
dc.identifier.citationKussaka, M. B (2011) Matumizi ya Taswira katika nyimbo za Kisazi za jamii ya Wazigua kutoka Somalia, Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15346
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es salaamen_US
dc.subjectZigua languageen_US
dc.subjectZigula languageen_US
dc.subjectBantu languageen_US
dc.subjectSomaliaen_US
dc.titleMatumizi ya Taswira katika nyimbo za Kisazi za jamii ya Wazigua kutoka Somaliaen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mariam Bakari Kussaka.pdf
Size:
5.19 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: